
Katibu
wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala (kulia) akiwakaribisha
ofisini kwake wageni kutoka Malawi na Sierra Leone ambao wako nchini
Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na
Tume ya Utumishi wa Umma.

Katibu
wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala (upande wa kulia
katikati) akiwa na baadhi ya watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma
akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Geoigiana Kamara (kulia) kuhusu
utendaji kazi wa Ofisi ya Rasilimali watu ya Sierra Leone.

Afisa Tawala Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Chele Ndaki akitoa maelezo ya namna Tume hiyo
inavyotekeleza majukumu yake kwa wageni kutoka Malawi na Sierra Leone
ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi
yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma.

Naibu
Katibu wa Idara ya Zimamoto na Uokaji, Tume ya Utumishi wa Umma Bw.
Donarld Ndagula (kushoto) akimsikiliza Bw. Abel Mwamlima kutoka Idara ya
Utumishi wa Umma,Sera, Utafiti na Maendeleo kutoka nchini Malawi
(aliyeshika kalamu) wakati wa kikao cha pamoja cha kubadilishana uzoefu
katika shughuli za utumishi wa Umma kati ya Tanzania,Malawi na Searra
Leone.
Post a Comment