![]() |
| HII NI NGOZI YAKE ASILIA. NGOZI AMBAYO KILA MWAFRIKA HUJIVUNIA.....HAPA MKOROGO BADO |
Hivi
kwa nini wanawake mnapenda kujichuwa!? Sikati, pengine Wema ni mzuri
Sana,lakini ebu angalia alivyo jikobowa!!! Yaani kajiharibu mno.

HII NI MIGUU YAKE ASILIA AMBAYO MUNGU KAMJALIA.......HAPA BADO HAJAIKOBOA
Ukimwangalia
Wema Sepetu wa 2006 wakati akitunukiwa taji la Miss Tanzania ni
tofauti kabisa na Wema wa leo.Wakati ule alikuwa na ngozi asili,
muonekano safi tena usio na michirizi.
Naamini
uzuri huo ndo ulisababisha alitwae taji la miss Tanzania.Achilia
mbali skendo alizo nazo, leo hii akigombea tena Umiss Tz sina
imani kama atashinda.



HII NDO MIGUU YAKE BAADA YA KUIKOBOA. TAZAMA ILIVYOJAA MICHIRIZI NA JINSI ILIVYO KAKAMAA!!!....
Mimi ningelikuwa nimeharibika na mkorogo hivyo wala nisingevaa nguo fupi,miguu inatia kinyaa!! Say NO to mkorogo.
Picha na MPEKUZI

Post a Comment