Ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri katika mziki wa hapa Tzee
sasa taarifa ambayo tumeipata kuhusiana na msanii huyu inasemekana
kwamba eti siku za hivi karibuni afande sele amesepa na mkwanja wote ebu
sikiliza hapo sasa yeye mwenyewe alivyotirirka na bwana Gossip cop Soudy brown mambo ya ki binadamu samahani lakini.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Gossip Cop Soudy Brown.
Post a Comment