Picha ya Agness alipo achia video yake chafu
WAKATI baadhi ya mastaa bongo wakikataa kuolewa kwa sababu zao binafsi, mrembo anayetamba kwenye video za bongo Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange,
amedai kuwa kuishi bila mume kunamfanya aishi maisha ya raha, kwani
anaamini akiolewa atakuwa kama mfungwa anayesubiri hukumu ya kifo.
Mwanadada huyo ambaye amekuwa akikumbwa na skendo kibao katika maisha yake, amedai kuwa maisha yake yanaenda poa bila hata ya kuwa na mume kwani ishu zake anazofanya zinamfanya aishi maisha mazuri.
“Kuhusu ndoa; Hapana kwa kweli maana ndoa ni kitu cha mwisho sana katika maisha yangu kwani sasa nahitaji kufanya ishu zangu za mjini, ambazo zinanipa maisha mazuri ambayo yananifanya nitoke kwenye umaskini,” alidai.
Hata hivyo alishindwa kueleza ni kazi gani anayofanya mjini ukiachilia mbali kuwapa tafu wasanii wa bongo kwenye video zao, ingawa alidai zipo ishu kibao ambazo amekuwa anazikifanya za ndani na nje ya nchi.

Post a Comment