Miss
Karun ni msichana pekee ndani ya kundi la Camp Mulla....Upekee huo
umemfanya atake kujulikana zaidi kupitia sifa za kijinga za
kujianika hadharani akiwa mtupu........
Picha hizo zimeanza jana kusambaa kwa kasi mitandaoni .Katika utetezi wake, mrembo huyo amekanusha kwa kudai kuwa hiyo ni sura yake lakini eti anahisi "amepikwa"
Shukurani za dhati kwa Daily Post
Post a Comment