ARSENAL YAPIGWA VIWILI NYUMBANI LIGI YA MABINGWA

Taking the lead: Klaas-Jan Huntelaar celebrates after scoring the opening goal
Klaas-Jan Huntelaar akishangilia bao la kwanza alilofunga

Arsene Wenger amekula kichapo cha mabao 2-0 na timu yake ya Arsenal mbele ya Schalke ya Ujerumani kwenye Uwanja wa nyumbani, Emirates.

TAKWIMU ZA MECHI

KIKOSI CHA ARSENAL: Mannone, Jenkinson (Gnabry 82), Mertesacker, Vermaelen, Andre Santos, Ramsey, Coquelin, Arteta, Podolski (Arshavin 82), Cazorla, Gervinho (Giroud 75).
BENCHI: Shea, Koscielny, Djourou, Chamakh.
NJANO: Vermaelen, Arteta, Ramsey, Gervinho.

KIKOSI CHA SCHALKE 04: Unnerstall, Uchida, Howedes, Matip, Fuchs, Hoger (Jones 46), Neustadter, Holtby (Barnetta 65), Afellay, Farfan, Huntelaar (Marica 87).
BENCHI: Hildebrand, Moritz, Draxler, Kolasinac.
NJANO: Afellay, Hoger.
WAFUNGAJI WA MABAO YAKE: Huntelaar 76, Afellay 86.
MAHUDHURIO: 60,049
REFA: Jonas Eriksson (Sweden)


On its way: Huntelaar fires his effort towards goal
Huntelaar akifunga
Despair: Mikel Arteta reacts to Arsenal going behind
 Mikel Arteta akisikitikia kipigo
Sneaking in: Ibrahim Afellay scores the second for Schalke
Ibrahim Afellay akiifungia la pili Schalke
Dreamland: Afellay celebrates his goal
Afellay akishangilia bao lake
Race for the ball: Lukas Podolski and Marco Hoger chase the ball
Lukas Podolski na Marco Hoger wakigombea mpira
Going down: Ibrahim Afellay goes down in the penalty area Ibrahim Afellay akifanya mishe kwenye lango la Arsenal
Get up: Afellay appeals for a penalty but is booked for diving
 Afellay akilalamikia kukwatuliwa kwenye eneo la penalti, lakini akapewa njano akishutumiwa kujirusha
Tough battle: Francis Coquelin is tackled by Marco Hoeger
Francis Coquelakipambana na Marco Hoeger
High jump: Coquelin goes airbourne as he is tackled by Hoeger
Coquelin akichuana na Hoeger
Enlarge Big match essentials

Post a Comment

Previous Post Next Post