Namkariri Linah akisema “nimejitahidi sana kuwaelezea wazazi wangu wanielewe litakapotokea tatizo lolote itakua ni bahati mbaya tu lakini sio kwa makusudi, baba anaona pia kwenye magazeti huwa navaa hivi najitahidi kumwambia hivyo ni vitu vya bahati mbaya huwa vinatokea na mimi kama msanii ndio maana tunakula tunaishi lakini ndio kazi”
Mbali na hayo Linah kasema
“nyimbo zangu baba anazisikiliza na anazipenda na anakubali ninaimba
kitu ambacho kipo, ila ubishi mkubwa kati yangu na yeye ni mavazi, kuna
show na show.. siwezi kwenda kufanya show ufukweni alafu nimevaa
magauni, show nyingine tunatakiwa kubang siwezi kuvaa migauni kama niko
kanisani”
.
Post a Comment