BREAKING NEWS: KATIBU WA BAKWATA AJERUHIWA


BREAKING NEWS: Katibu wa BAKWATA Arusha amelazwa hospitali ya Mount Meru baada ya kujeruhiwa vibaya kufuatia nyumba yake kulipuliwa usiku wa leo na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu

Post a Comment

Previous Post Next Post