“Wasilisho langu litakuwa na sehemu
saba…Utangulizi, Tanzania iliundwa mwaka 11964 kwa kuunganisha visiwa
vya Bahari ya Hindi vya Zimbabwe na Pemba vilivyoungana na nchi ya Bara
iliyokuwa ikiitwa Tanganyika…,” alisema Naibu Waziri Mulugo kwa
kujiamini na bila kuonyesha dalili yoyote kuwa alikuwa amekosea.
Sauti kwa hisani ya kipindi cha Power Breakfast-Clouds FM
Post a Comment