Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango,
mjini Dodoma leo Oktoba 31, 2012 kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano
Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wazazi CCM-Taifa. Mkutano huo unafanyika
sambamba na uchaguzi wa Viongozi wapya wa Jumuiya hiyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya
Wazazi CCM-Taifa. Mkutano huo unafanyika sambamba na uchaguzi wa
Viongozi wapya wa Jumuiya hiyo, katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo
cha Mipango, mjini Dodoma leo Oktoba 31, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo baada ya ufunguzi
uliofanyika leo, mjini Dodoma.
.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na William Malecela, wakati akiondoka kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango, mjini Dodoma leo Oktoba 31,
2012 baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wazazi
CCM-Taifa. Mkutano huo unafanyika sambamba na uchaguzi
wa Viongozi wapya wa Jumuiya hiyo. Picha na OMR
إرسال تعليق