Huyu ndie meneja mpya wa Mwanamuziki
Steve RnB , anaitwa Seif Kabelele, Kuanzia sasa ndiye atakayesimamia
Kazi za Muziki za Msanii Steve RnB.
Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya Tabasamu aliyoshirikishwa na Mr Blue.
Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika
miondoko ya RnB Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa
akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake. Manager Wake Mpya
anaitwa Seif Kabelele.
Chanzo:- lukaza.blog
Post a Comment