1.
Chris Cremence 100,000 2. Anonymous 500,000 3. Maggid Mjengwa 100,000
4. Raymond Kasoyaga 20,000 5.Edward Mgogo 10,000 6.Joachim Kiula 5,000
7.Libory Muhanga 5,000 8.Geofrey Kagaruki 10,000 9.Sadiki Mangesho
10,000 10. Edwin Namnauka 40,000 11.Daud Mbuba 10,000 12. Anonymous
200,000 13.Mikidadi Waziri 6,000 14. Bungaya Mayo 5,500 15. Abraham
Siyovelwa 50,000 16. Godfrey Chongolo 22,222 17. Jacob Mwamwene 51,000
18. Denis Bwimbo 153,683 19. Zanzibar Ni Kwetu 150, 464 20.Felex
Mpozemenya 10,000 21.Rweyendera Ngonge 11,000 22. Festo Temu 10,000 23.
Azaria Mulinda 10,000 24.Khatibu Kolofete 5,000 25. John Bukuku 25,000
26. Abel 10,000 27. Hafidh Kido 10,000 28. George Mtandika 16,000 29.
Shy-Rose Bhanji 200,000 30. Raymond Nkya 52,000 31. Maganga Sambo 10,000
32. Felix Mwakyembe 10,000 33. Abdul Diallo 5,000 34. Newton Kyando
20,000 35. Galanos Myinga 20,000 36. Anonymous ( 200 Euro) 497,000 37.
Yasinta Ngonyani 50,000 38. Prosper/ Willy ( Japan) 314,000 39. Nuru
Mkeremi 131,000 40. Anonymous 50,000 41. Josephine Mahimbo 50,000 42.
Anonymous 150,000 43. Heladius Macha 30,000 44. Emma Malele 10,000 45.
Anonymous 60,000 46. Hendry Mlay 35,000 47. Hosea Ngowi 10,000 48.
Athuman Zuber 5,000 49. Hyancinth Komba 7,500 50. Edson Kihongole 11,500
51. Godfrey Emmanuel 20,500 52. Deus M 27,000 53.Sigisto Amon 10,000
54.Issa Kubonya 10,000 55. Richard Dalali 6,000 56.Fadhili Mtanga 20,000
57. Polycarp Ngowi 5,000 58. Salehe Mfaume 10,000 59. Deodatus Balile
20,000 60. Moses Ringo 15,000 61. Dr Rukoma 100,000 62. Mobhare Matinyi
100,000 63. Humphrey Simba 16,000 64. Fredrick Kyambile 10,000 65.John
Mwakyusa 20,000 66. Abdul Njaidi 40,000 67. Fidelis Francis 10,000
68.Mutachumwa Mukandala 10,000 69. Augustino Lukosi 12,500 70. Goodluck
Arobogast 20,000 71. Lusajo Mwasaga 15,000 72. Carolina Reynolds 5,500
73. Rugenamu Kawa 30,000 74. Innocent Kimario 5,000 75. Jumuiya Ya
Watanzania UK 1,000,000 76. Josephat Mwagala 150,000 77. Sara Mawere
5,000 78. Deograsias Hyasini 15,000 79. Anonymous 10,000 80. Said Kambi
20,000 81. Cassian Mayega 10,000 82. Mary Glad 5,000 83. David V 153,000
84. Anonymous 100,000 85. Lingson Adam 21,500 86. Augustus Fungo 25,000
87.Seka Henjewele 5,000 88.Deusdith Bishweko 5,000 89.Robert Clemens
10,000 90.Isak Kabingo 10,000 91.Irene Massawe 10,000 92. Oliva Bujulu
11,000 93. John Lemomo 10,000 94. Joseph Rocket 500 95. Prosper Simon
5,500 96 Andy Mwakibete 2,000 97. Ramadhani Kasonso 20,000 98. Anonymous
11,000 99. Jenga Ngalawa 200,000 100.Stanslaus Nnyari 5,000 101.Luth
Twissa 75,000 102. Mdodi Mlelwa 2,000 103. Hatibu Kiobya 5,000 104.
Benjamin Mkalava 5,000 105. Manfred Mjengwa 11,000 106. John Malanilo
12,000 107. Lutgard Kokulinda Kagaruki 20,000 108. Kazikupenda Chale
25,000 109. Boniface Sechuma 10,000 110. Edmund Temu 5,000 111. Edwin
Moshi 5,500 112. Syldion Semazina 5,000 113. Pastoc Shelutete 50,000
114. Ananilea Nkya 50,000 115. Lucy Bwana 21,000 116. William Genya
25,000 117. Anonymous 300,000 118. Adam Bakari 21,000 119. Gilbert
Mkindi 5,000 120. Meriki Kinuno 5,000 121. Samuel Nguyaine 25,000 122.
Josephat Godfrey 15,000 123. Anold Mturi 1,500 124. Gadiel Malisa 5,000
125. Ebenezer Mshana 11,000 126. Mussa Kopwe 1,000 127. Emmanuel
Kitomari 6,000 128. Stella Kisale 2,000 129. Kahitwa Bishaija 20,000
130. Lucy Massawe 1,000 131. Valentini Temba 10,000 132. Victor Lucas
2,000 133. Irene Mdami 5,000 134. Killey Mwitas 10,000 135. Godwin Mushi
2,000 136. Adinani Madawili 2,000 137. Bryson Munisi 20,000 138. Sarah
Beckham 50,000 139. Chrispin Modestus 11,000 140. Luiham Ringo 11,000
141. Marko Gideon 5,000 142. Peter Msuya 2,000 143. Maria Mvula 5,000
144. Safina Mbwelei 15,000 145. Sebastian Ivambi 15,000 146. Jackson
Minja 1,000 147. Joseph Swai 5,000 148. Albino Simbila 8,000 149. David
Sheshe 21,000 150. Nichs Kutumiwa 1,500 151. Mwanaidi Swedi 5,000 152.
Mwajuma Abdalla 2,500 153. Richard Azrikamu 20,000 154. Mahafudh Nassoro
10,000 155. Anonymous 50,000 156. John Maboja 2,000 157. Asajile
Mwalukasa 10,000 158. Solomon Rwangabwoba 100,000 159. Daniel Majalla
11,000 160. Anonymous 2,000 Jumla: 5,334,000 ( Shilingi Milioni Tano Na
Laki Tano Na Tano Elfu ) Mjengwablog, na kwa niaba ya Itika Mwangosi,
mjane wa marehemu Daud Mwangosi inawashukuru kwa dhati wale wote
waliojitolea kwa hiyari zao kumchangia mjane wa marehemu ili aweze
kupata mtaji wa kuanzisha shughuli za kujikimu uweze kumsaidia yeye na
watoto wake wanne. Na kama alivyotamka mjane wa marehemu; " Mungu ndiye
atakayewalipa". Na hapa natangaza rasmi kufungwa zoezi hili la
harambee.
Kutakuwa na siku mbili, kesho na keshokutwa za kupokea taarifa zozote zenye kuhusiana na kasoro katika kuorodhesha majina na kiasi, maana, kazi hii ya kuratibu imefanywa na mimi kama mwanadamu, yumkini kuna aliyechangia lakini jina lake halijatokea, na anayo kumbukumbu ya alichomchangia mjane wa marehemu, basi, awasiliane nami ili turekebishe kasoro hizo.
Baada ya siku hizo mbili, fedha zote zilizokusanywa zitaingizwa kwenye akaunti ya mjane wa marehemu na vielelezo vya kibenki vitawekewa hapa mtandaoni kama kumbukumbu. Nichukue fursa hii kuwashukuru nyote, mliochangia na hata ambao hamkuchangia kwa fedha bali kwa kuniunga mkono kwenye kazi hii ya kuratibu michango , hivyo basi, kwa namna moja au nyingine, nanyi pia mmeshiriki kwenye kumchangia mjane wa marehemu.
Wenu, Maggid Mjengwa, Iringa. 0788 111 765
TAARIFA MUHIMU: Wachangajiaji niliowatambulisha hapo juu kama ' Jumuiya Ya Watanzania UK' wameomba mchango wao wa shilingi milioni moja na kumi na tano elfu na mia tano urudishwe kwao ili wauwakilishe wenyewe kwa mjane wa marehemu kwa vile mchango wao ulipaswa utambuliwe kuwa umetoka kwenye chama chao cha siasa tawi la huko UK. Michango kwenye Mjengwablog haifungamani na itikadi za kisiasa.

إرسال تعليق