Droo
ya kupanga makundi ya timu za Afrika zinazoshiriki Afcon 2013
imechezesha jana mjini Durban, Africa Kusini na hivi ndivyo mambo
yalivyokuwa.
Group A: South Africa, Morocco, Cape Verde, Angola
Group B: Ghana, Mali, Niger, DR Congo
GROUP C: Zambia, Ethiopia, Burkina Faso, Nigeria
Group D: Ivory Coast, Togo , Algeria, Tunisia
إرسال تعليق