HAYA NDIO MATOKEO YA KIBAIOLIJIA KWA WANANAKE WANAOFANYA BIASHARA YA NGONO.

-Kiwango cha Maambukizi ya VVU ni asilimia 31.4.
-Kiwango cha maambukizi ya Kaswende ni asilimia 2.0.
-Homa ya Ini ya Virusi vya aina ya B ilikuwa asilimia 6.3
-Homa ya Ini ya Virusi vya aina ya C ilikuwa asilimia 3.4.
-Maambukizi ya Gonorea ilikuwa asilimia 10.5.
-Kiwango cha Maambukizi ya Pangusa ni asilimia 6.
-Trakoma ya Via vya Uzazi ilikuwa 15.7.
-Candidiasis ilikuwa aslimia 8..o.
-Maambukizi ya ugonjwa mmoja wowote wa Ngono ni asilimia 27.3.

Post a Comment

أحدث أقدم