Mashallah
mtoto Black Beauty na make up imetuliajeee. Kama kupendeza alipendeza
na yatupasa kumpa sifa zake pale anapostahili kupewa.

Mambo ya arabian night chezea! Macho yanaitajeeeee

Unambiwa mauno yalikuwa hatari

Red red tuuuuuuu naskia ndo zilitawala, na alizimwagajeee. Nasubiri ya Wema sasa maana nadhani itakuwa funga kazi

Wema akifanya vitu vyake chezea! Ilikuwa full kumtunza shosti wake. Bi harusi mpaka chiniiiiiiii

Wadada walitokelezajeee

Salome na sister wake walikuwepo na wametokelezajeee

Muke ya mzungu

Kitu
cha arabian night chezeaaa bongo movie star aka bongo celebrity.
Shughuli hii ilifanyika siku moja kabla ya kitchen party. Tunasubiri
Send off maana tumeambiwa kila kitu kitafanyika kinyume na tulivyo
zoeaaaaa. Iga ufe
إرسال تعليق