Huu ni ujumbe wa msomaji wetu akieleza jinsi anavyokerwa na mmomonyoko wa maadili hasa kwa dada zetu.....
Ungana naye, na tupe maoni yako
...........................................................................................................
Habari yako Mpekuzi.
Mimi ni mdau wa blog yako.Hongera
sana kwa jitihada za kuwaumbua dada zetu wanaopiga picha za utupu
na kuzisambaza au kuziuza......
Kwa kufanya hivyo, jamii imeweza
kuwatambua watu hao kwa sura na majina yao.Hali hii imewafanya watu
wazidi kujihami na hao mabinti......
Tumeshuhudia hivi karibuni wasanii
wetu wakiomba samahani kwa watanzania kutokana na Picha zao
chafu.Isingekuwa kuwaumbua naamini wasingejitambua....
Inasikitisha kuona dada zetu hawataki
kubadilika.Huyu ni msichana ambaye kapiga picha za aibu sana.Simfahamu
vizuri ila nasikia anaitwa Beige.Naamini siku moja wataacha.
NI MIMI MDAU NA MSOMAJI WENU WENU
إرسال تعليق