HUU NDIO UJUMBE WA RAMA DEE KWA LORD EYEZ NA OMMY DIMPOZ

Rama Dee ni mmoja ya wasanii wakali wanaokinukisha vizuri katika anga za RnB Bongo kwa ngoma zake kali alizozifanya na kupata mashabiki wengi kupitia muziki wake. Rama dee kwa sasa anatamba kwa single yake iitwayo “Kuwa na Subira” akiwashirikisha Mapacha alias Maujanja Saplayaz.
Hivi majuzi kulikuwa na sakata la wizi wa vifaa vya gari la msanii Ommy Dimpoz na hatimaye Ommy kumshutumu member wa Nako 2 Nako Lord Eyez kama ndio mwizi wa vifaa hivyo. Katika tasnia hii ya muziki wadau mbalimbali walitoa maoni  yao kuhusiana na swala hilo. But siku ya jana Rama Dee naye aliweza kutoa maoni yake kupitia Facebook Fan page yake aliweza kupost maneno ambayo ni kama maoni kwa wasanii Lord Eyez na Ommy Dimpoz:
Hii ndio post ya Rama Dee:
 

Post a Comment

أحدث أقدم