Just In - Ustaadh Farid apatikana


Habari zilizotufikia muda si mrefu ni kwamba kiongozi wa jumuiya ya Uamsho, Ustaadh Farid amepatikana akiwa katika hali nzuri na kwa sasa yupo kwao kwa mzazi wake akipumzika.

Post a Comment

Previous Post Next Post