KANISA LA WADVENTISTA WASABATO TANZANIA LASITISHA MAHUBIRI YOTE YA HADHARA KWA SIKU 30 KUFUATIA TAMKO LA SERIKALI.


Mchungaji Mussa Mika Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania Union
--- 
Kufuatia tamko la Serikali la kupiga marufuku mihadhara yote ya dini kwa siku thelathini kuanzia Oktoba21,2012, Uongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania Unioni,unaelekeza kwamba tuzingatie maelekezo hayo kwa kuahirisha Mahubiri yote ya hadhara au kuyahamishia makanisani, pale itakapowezekana, mpaka marufuku hiyo itakapoondolewa. Tafadhali fikisheni ujumbe huu makanisani. Tunawasihi tumlilie Mungu ili Hali ya Amani na Utulivu irejee mapema na marufuku hii iondolewe.
Mch. Mussa D. Mika 
MKURUGENZI WA MAWASILIANO - TU

Post a Comment

أحدث أقدم