Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) , Khamis Sadifa Juma
Mjumbe
wa Kamati Kuu wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein, akimpongeza mwenyekiti
mpya wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Khamis
Sadifa Juma, mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa
jumuiya hiyo uliofanyika chuo cha Mipango, nje kidogo ya Manispaa ya mji
wa Dodoma jana Jumatano Oktoba 24. 2012
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjq7O0m_PKstkFHxEWn6XxNOz6zdSu1gKRg2bT8QNPfgU11TN1bWPeHsPYRS2lwp_blEK_gCplO92mlYNcpFjf-a8O4L_9LtxyarmAjyEnTvybNTMx_p6EDVTBkHQJX7itO1H772_rzrg8/s640/mali.jpg)
إرسال تعليق