Kiongozi Wa Uamsho Apatikana-Serikali Yapiga Marufuku Vipindi Vya Redio Na Television

 Kwenye ukurasa wa uamsho wamesema Kiongozi huyo amepatikana hai usiku wa kuamkia leo.kabla uamsho waliipa serikali masaa 26 hadi leo alasiri amiri wao awe amepatikana vinginevyo hali itakuwa mbaya

Post a Comment

أحدث أقدم