MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV LEO UTAONYESHWA TENA LIVE!!!



Video streaming by Ustream

Kwa wale ambao wamekosa kuangalia mkutano mzima wa Jumaiya ya watanzania DMV uliofanyika Oct 21, 2012 Mirage Hall Hyattsville Maryland, utarudiwa tena LIVE Leo Jumapili Oct 28, 2012  kuazia saa 6:PM (Kumi na mbili jioni) kila atakaeona habari hii mjulishe Mtanzania wa mwenzake wa DMV.
 Usikosi LIVE kupitia Link http://www.ustream.tv/channel/akilasara

Post a Comment

Previous Post Next Post