Kwa wale ambao wamekosa kuangalia mkutano mzima wa Jumaiya ya watanzania
DMV uliofanyika Oct 21, 2012 Mirage Hall Hyattsville Maryland,
utarudiwa tena LIVE Leo Jumapili Oct 28, 2012 kuazia saa 6:PM (Kumi na
mbili jioni) kila atakaeona habari hii mjulishe Mtanzania wa mwenzake wa
DMV.
Usikosi LIVE kupitia Link http://www.ustream.tv/channel/akilasara
Usikosi LIVE kupitia Link http://www.ustream.tv/channel/akilasara
إرسال تعليق