NISHA NA BABY MADAHA WALILIA 'KUPAKATWA' NA TINO


Salma Jabu ‘Nisha’


           
baby madaha



Hisani Muya ‘Tino’


MASTAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Baby Madaha juzikati walinaswa wakimshobokea mwigizaji mwenzao, Hisani Muya ‘Tino’ wakitaka awapakate.
Tukio hilo lilipigwa chabo hivi karibuni na paparazi wetu katika Hoteli ya The Atriums  iliyopo Sinza Afrikasana jijini Dar wakati mastaa hao walipohudhuria sherehe ya kukabidhiana mahari kati ya Hamis Baba ‘H. Baba’ na Flora Mvungi.
Nisha na Baby Madaha walimlazimisha Tino awapakate ilhali kulikuwa na viti vingi vitupu ukumbini humo, hali iliyozua tafsiri ya haraka kuwa wawili hao walikuwa wanamshobokea Tino.

Post a Comment

Previous Post Next Post