Fabrice Muamba akiwa na furaha tele baada ya kukaribishwa kwa shangwe na shauku na wadau.
Kutoka Kulia CEO wa Beffta, Pauline Long akitaja washindi wa tuzo za mwaka 2012.
Mtangazaji Nguli wa zamani wa ITV sir…
Fabrice Muamba akiwa na furaha tele baada ya kukaribishwa kwa shangwe na shauku na wadau.
Kutoka Kulia CEO wa Beffta, Pauline Long akitaja washindi wa tuzo za mwaka 2012.
Mtangazaji
Nguli wa zamani wa ITV sir Trevor McDonald akisema machache baada ya
kupokea Tuzo ya Beffta ''LIFE TIME ACHIEVEMENT ''.
Makamuzi yakiendelea.
Frank Eyembe akila pozi na Fabrice Muamba.
Frank
akiwa na Actor Wale Ojo baada ya kunyakua tuzo ya best actorkutoka
kulia Mshindi wa best of Best Fashion Choreographer 2012 Yvonne,
Jestina, Peace na Frank.
kutoka kulia Mshindi wa best of Best Fashion Choreographer 2012 Yvonne, Jestina, Peace na Frank.
sehemu ya kadamnasi ilivyofurika wadau kutoka sehemu mbalimbali.
Warembo waking'ara ndani ya red Carpet.
Catwalk Professor akila pozi baada ya kushinda tuzo yake ya Beffta.
Urban Pulse na Miss Jestina blog
wanakuleta taswira mbalimbali kutoka katika tuzo za Nne Beffta 2012
zilizofanyika Jumamosi tarehe 27 Oktoba 2012 ndani ya Ukumbi wa
HIPPODROME, GOLDERS GREEN, LONDON NW1 7RP. Tuzo hizi ziliandaliwa maalum
kwa ajili ya kutambua michango mbalimbali ya wasanii na wataalam katika
tasnia ya Luninga, Filamu, Internet, Mitindo, Magazeti, Majarida,
Muziki,Tamthilia,Tovuti na Blogs, Kucheza, Mashairi, na michango ya watu
fulani mashuhuri katika kukuza au kuimarisha jamii ya watu weusi
hususani Wafrika waishio hapa nchini Uingereza.
Mojawapo ya tuzo za muhimu Beffta zilikwenda kwa mtangazaji nguli wa
zamani wa ITV, Sir Trevor Mcdonald aliejinyakulia tuzo ya "Life time
Achievement" kutokana na mchango wake katika tasnia ya utangazaji.
Mbali na hapo tuzo za Beffta zilienda maili zaidi kwa kumkaribisha mchezaji wa zamani kutoka timu ya Bolton ambaye alifariki uwanjani kwa muda wa dakika 54, lakini kutokana na nguvu pamoja na miujiza ya Mwenyezi Mungu kwa kuwawezesha madaktari aliweza kufufuka na kuwa hai hadi leo hii. Mchezaji huyu mwenye asili ya Kikongo aitwaye Fabrice Muamba alifunga pingu za maisha hivi karibuni na mchumba wake Shauna Magunda pia ndio aliyekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizi za tuzo za Beffta 2012.
Tuzo za Beffta zimeanzishwa miaka minne iliyopita na Pauline Long kutoka Kenya ambaye ndiye CEO wa tuzo za Beffta.
Asanteni,
Urban Pulse wakishirikiana na Miss Jestina Blog

إرسال تعليق