Jini Kabula na Bella |
Miss Mara, Kanda ya Ziwa na Top Model Miss Tanzania 2002,
Rashida Wanjara anafanya birthday party yake mida hii katika pub la City Sports
Lounge, katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Imependezaje? Cheki mafoto haya ya
mtaalamu BIN ZUBEIRY(http://bongostaz.blogspot.com/)
Anko Benny Kisaka |
Rashida na Lisa Jensen |
Kutoka kulia Rashida, Bella, Sauda Mwilima Kauli na Jini |
Waalikwa |
Bella na Jini wanaruka mangoma |
Utamtaka Rashida katika siku ya leo! |
Nipo mshkaji wa kitambo...Luteni Karama wa lililokuwa kundi la Gangwe Mobb pale Temeke Mikoroshini |
Wagumu kweli kutoka Temeke walipokutana |
DJ hadi anasinzia kudadeeeki |
Rashida |
Omary kulia akiwa na babu Ally |
Sarah |
Kutoka kulia Rashida, Bella, MC Matukio Chuma na Jini |
Post a Comment