Mabingwa
wa soka Tanzania bara, Wekundu wa Msimbazi Simba ya jijini Dar es
salaam leo imelazimshwa sare ya 0-0 dhidi ya Mgambo JK mchezo uliopigwa
katika uwanja wa Mkwawani jijini Tanga.
Simba iliyoanza Ligi Kuu kwa kishindo,leo wamefikisha sare yao ya nne baada ya kutoka sare ya 1-1 na Yanga, 0-0 na Coastal
Union mjini Tanga na 2-2 na Kegara Sugar mjini Dar es Salaam na leo ikitoka 0-0 na Mgambo JKT leo.
Post a Comment