“Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi
Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa
sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa
mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.”
Unaamini Tundaman anaweza kumrudisha Chidi kwenye game? tupe maoni yako
إرسال تعليق