TWANGA PEPETA ILIVYOBURUDISHA LEO LEADERS CLUB

Dogo Rama kushoto akiimba katika onyesho la bendi yake, African Stars 'Twanga Pepeta' jioni ya leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam


Kalala Jr. kulia akiimba kwa hisia 

Saleh Kupaza kulia na Luiza Mbutu kushoto

Dogo Rama kushoto

Mwinjuma Muumin kushoto na Badi Bakule kulia

Mtu mzima Kizaizai kushoto akiwa Msaifri Diouf katika gari lake la hatari

Wanenguaji wa Twanga Pepeta wakifanya mambo ya hatari

Wanenguaji wa Twanga Pepeta

Wadau wakifuatilia burudani
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Janeth Isinike akiwa amepozi kabla ya kupanda jukwaani

Post a Comment

Previous Post Next Post