
Msichana
anayeitwa Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse
wala sidiria (topless) katika jiji la New York, Marekani.
Moira
amethibitisha kwamba anatembea matiti nje kuikumbusha jamii kwamba
wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume.

“Natembea topless kuhamasisha hiyo ni halali kwa mwanamke kuwa topless
mahali popote ambapo wanaume wanaweza kuwepo bila kuvaa mashati.” MOIRA
Moria
aliendelea, “Nimekuwa natembea topless kwa muda wa wiki kadhaa sasa.
Nimepata maoni mnyanganyiko.”
Alisema kwamba watu wengi wako poa ila
kuna wengine wanashangaa sababu hawajazoea kuona wanawake wakitembea
matiti nje. Moira anapenda kubadilisha hilo ili iwe kawaida kwa wanawake
kutembea matiti nje
إرسال تعليق