Ni moja kati ya wasanii wanofanya vizuri katika game la mziki nchini
marekani sasa taarifa ambayo imeweza kuenea katika mitandano mbalimbali
ni kwamba siku za hivi karibuni msanii huyu aliweza kuweka wazi na
kusemba anatamani siku moja aje kufanya kazi na mtu mzima Nas
kwani anachotaka yeye mziki wake ufike level za juu zaidi na ndiyo maana
anatamani siku waingie studio na mtu mzima Nas na wapige kazi alisema
hayo baada ya kufunguka kuhusiana na ujio wake mpya wa album inayokwenda
kwa jina la O.N.I.F.C ambayo anatarajia kuiachia soon Desemba tarehe 4.baada ya hapo Wiz Khalifa pia aliweza kufunguka na kuhusiana vitu ambavyo ana feel katika maisha aliweza kutaja favorite cartoon character akataja Donatello of The Teenage Mutant Ninja Turtles na vitu vingi kibao kama
إرسال تعليق