ANGALIA PICHA WAZINZI WAANIKWA KITAANI 'LIVE'


 Wazinzi hao
wananchi wakiwazonga na kuwapa kichapo


Nitukio lililotokea kweli na wala sio lakuzushwa..kama unavyoona ni mwanaume mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akila uloda na mwanamke mwenye familia na watoto.
Wazinzi hawa walifumaniwa kwenye nyumba ya kulala wageni maeneo ya chang'ombe mchana kweupe mishale ya saa 7 au 8..walipogundulika kuwa ni wasaliti wa ndoa zao walizongwa na wananchi wenye hasira na kupewa kichapo cha kutosha na kutembezwa wakiwa kama walivyozaliwa..

Post a Comment

Previous Post Next Post