NI JANA USIKU NDANI YA CLUB BILICANAS...!


 
Rapa maarufu kutoka African Stars Msafiri akihojiwa na Benny  kutoka Clouds Tv jana usiku ndani ya ukumbi wa Club billicanas ambapo African Stars ilifanya vitu vyake mbele ya umati wa watu...   
 aki shoo luv kiaina na Steven Nyerere...
Dogo Rama akijiachia kinamna ...!Pia unaweza kuzama 

Post a Comment

Previous Post Next Post