Uume wasimama hadi kufa baada ya 'kukong'oli' mke wa mtu




Waliosema Mke wa Mtu ni 'sumu' hawakukosea. Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 34 amefariki dunia  wakati akipokea matibabu kutoka kwa waganga wa jadi baada ya uume wake kudaiwa kusimama baada ya kulala na Mke wa mtu.
Mwanaume huyo aliyetambuliwa kwa jina la Shelton Dinganga  wa kijiji cha Zaranyika Road, Mambo ambapo kutokana na majirani, jambo hilo ambalo lililokuwa linafanywa siri ya familia na ndugu wa marehemu limetokea wiki iliyopita ambapo majirani wamesema kuwa, wamesikitishwa na taarifa kuhusu kifo cha Dinganga kutokana ukweli kuwa, hawakuwa na taarifa juu ya ugonjwa wake.
 Wamesema kuwa, Dinganga amefanya ngono na mke wa mtu na kitendo hicho kimepelekea uume wake kuendelea kusimama huku sehemu nyingine za mwili wake zikivimba.

Post a Comment

Previous Post Next Post