BAADA YA KUDONDOKA URAIANI LORD EYES ADONDOKA BONGO RECORDS

Baada ya misuko suko ya hapa na  pale na hatimae kurudi uraiani, msanii kutoka A city Lord eyes, anaonekana kurudi na kuitengeneza upya image yake kwa kudondosha ngoma kwa kasi, kwa fans and friends.Lord ameonekana katika studio za Bongo Recordsakiwa na majani na msanii Damian akirekod pini.

 Jina la ngoma halijafamika bado, but itakuwa ni surprise kwako.




                                                 

Post a Comment

أحدث أقدم