BABU AKUTWA AKIWANGA UCHII WA MNYAMA!




Kibabu huyo akiwa amevishwa nguo.
MZEE moja ambaye jina lake halikupatikana,jana alinusurika kufa baada ya wananchi wenye hasira kutaka kumchoma moto baada ya kudai walimkuta akiwanga usiku wa manane kwenye nyumba moja eneo la Mfisa mkoani hapa.

Wananchi hao waliokuwa na silaha mbalimbali, walitaka kumwadhibu kibabu huyo wakidai ni mwanga, watu ambao ndiyo chanzo cha matatizo katika jamii.

Hata hivyo, viongozi wa mtaa huo walifika na kumchukua mtu huyo ambaye awali alikuwa amegoma kuvaa nguo.

Post a Comment

Previous Post Next Post