Mlopelo katika moja ya maigizo yake.
Muigizaji mahiri ambaye alikuwa anatamba katika kundi la Kaole Sanaa
Group Mlopelo anasemekana amefariki dunia siku ya leo. Kwa mujibu wa
taarifa ambazo pia Hisia za Mwanachi inajaribu kuzithibitisha kutoka kwa mmoja wa
wana tasnia ya filamu Pastor Myamba, ambaye naye ametupasha kupata
taarifa za kifo chake kupitia ujumbe mfupo wa maneno.
Inasemekana Chanzo cha kifo chake ni maradhi ya muda mrefu.
Mlopelo mara nyingi alikuwa anaigiza kama zezeta la msukule na kujipatia umaarufu mkubwa kutoka kwa wapenzi na tamthilia za kitanzania ambazo mara nyingi zilikuwa zinaonekana kupitia ITV na Channel Ten.
Hisia za Mwananchi inajaribu kufuatilia habari hii kwa kina zaidi.

Post a Comment