
Msanii wa Bongo Movie hapa nchini almaarufu kama Ant Ezekiel baada siku hizi chache kutangaza katika vyombo vya habari kwamba 
anatarajia kuolewa sasa habari imekamilika.kwani siku ya jana ndiyo 
ilikuwa ni siku ya pekee kwake kwa kutimiza ndoto zake na ndoa hii 
ilifungwa huko Dubai picha hizi ndiyo zimethibitisha kwamba amefunga 
ndoa rasmi.@TEAMFETTYTHEBEST TUNAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAISHA 
YAKO YA NDOA.

                                                              Mr and Mrs Demonte                                                               

Post a Comment