ETHIOPIA YAIFUNGA SUDAN KUSINI 1 -0 TUSKER CHALLENGE

Mshambuliaji wa Sudan Kusini, Hamisi Leon akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ethiopia katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Tusker Challenge uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Mamboole, Kampala, Uganda. Ethiopia imeshinda 1-0, bao pekee la Yonatal Kebede Teklemariam kipindi cha pili

Post a Comment

Previous Post Next Post