![]() |
Mshambuliaji
wa Sudan Kusini, Hamisi Leon akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ethiopia katika
mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA
Tusker Challenge uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Mamboole, Kampala,
Uganda. Ethiopia imeshinda 1-0, bao pekee la Yonatal Kebede Teklemariam kipindi
cha pili
|
إرسال تعليق