Msanii wa Bongo Fleva anayeondoka Style za HipHop kutoka mwanza almaarufu kama Fid Q mwenye ladha kali za Hip Hop anayesababisha mpaka mashabiki mbalimbali kupenda ngoma zake kama Ielewe mitaa,Propaganda,Neno,na zinginezo kali sasa
Lartest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba jana baada ya kupiga naye story aliweza kufunguka na kusema kwamba hapa
Duniani hakuna adui mbaya kama rafiki yako maana unaweza ukamdhamini
unayempenda halafu mwisho wa siku akawa kinyume na wewe kwa hiyo
alichokimaanisha yeye ni kwamba uwe makini na marafiki zetu kwani kesho
na keshokutwa anaweza akawa adui wako.Huo ndiyo ujumbe wa Fareed Kubanda.

إرسال تعليق