Msanii wa Bongo Fleva anayeondoka Style za HipHop almaarufu kama Fid Q,msanii mwenye Ladha kali za Hip Hop anayesababisha mpaka mashabiki mbalimbali kupenda ngoma zake kama Ielewe mitaa,Propaganda,Neno,na zinginezo kali sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kupiga naye story siku za hivi karibuni aliweza kufunguka na kusema kwamba hivi sasa ameandaa Darasa lake la Hip Hop ila bado ajalitambulisha rasmi darasa lake kwa hiyo soon anatarajia kulitambulisha. kwa hiyo wale mashabiki wa Fid Q au wale wapenda Hip Hop inawahusu hii ni nzuri sana..!!!!!!!!!

إرسال تعليق