HALI ILIVYO GOMA



Vita kweli haina macho mtoto huyu kakosa nini?
Polisi wa Goma waliojisalimisha.
Huyu ni mmoja wa viongozi wa waasi Meja Vianney akiingia Goma kwa shangwe.
Wananchi wakikimbia kutafuta eneo lenye usalama wengi waripotiwa kukimbilia Bukavu.
Wanajeshi wa M23 wakiingia Goma

Post a Comment

أحدث أقدم