HUU NDIO UJUMBE KUTOKA KWA TIGO BAADA YA KUTO KUPATIKANA KWA HUDUMA ZAO LEO ASUBUHI



Hiki ndicho walichokiandika Tigo leo kupitia katika ukurasa wao wa Facebook na kuwaomba radhaa Wananchi baada ya mtandao wao kutokufanya kazi kuanzia Asubuhi na kupelekea watu kukosa huduma zao.Sasa pale comment zilipozidi kuwa nyingi katika page yao huku watu wakilalamika kuhusiana na huduma zao sasa wakaamua ku upadate ujumbe mwingine huu hapa chini.
Baada ya masaa mawili ndipo huduma zikaanza kufanya kazi na wakatoka ujumbe huu hapo chini

Post a Comment

Previous Post Next Post