Hiki ndicho walichokiandika Tigo leo kupitia katika ukurasa wao wa
Facebook na kuwaomba radhaa
Wananchi
baada ya mtandao wao kutokufanya kazi kuanzia Asubuhi na kupelekea watu
kukosa huduma zao.Sasa pale comment zilipozidi kuwa nyingi katika page
yao huku watu wakilalamika kuhusiana na huduma zao sasa wakaamua ku
upadate ujumbe mwingine huu
hapa chini.
Baada ya masaa mawili ndipo huduma zikaanza kufanya kazi na wakatoka ujumbe huu hapo chini
إرسال تعليق