JOKATE AANZA KUPATA MAFANIKO BAADA YA KIDOTI LOVING KUPEWA SUPPORT NA ORIGINAL COMEDY


Baada ya kushiriki katika kazi mbalimbali za ujenzi wa taifa, mtangazaji wa kituo cha televisheni cha channel  O  Jokate Mwegelo ameibuka na kudai kuwa safari yake ndio kwanza inaanza kwani ana mambo mengi ya kulifanyia Taifa la Tanzania sasa
Latest info kutoka kwa Mwanadada ni kwamba toka aanzishe kampuni yake ameweza kupata mafanikio mengi kama siku za hivi karibuni Wasanii wa Michezo ya Kuchekesha hapa Tzee almaarufu kama Original Komedi walitumia Nywele za kampuni yake KIDOTI  LOVING katika kufanyia kazi zao za uchekeshaji kwa hiyo kwa namna moja au nyingi anaanza kufanikisha ndoto zake ambazo alikuwa akizihitaji kwa kupitia kampuni yake.@info kamili by Jokate Tunamtakia All the best katika kazi yake.

Post a Comment

أحدث أقدم