MSANII aliyeunda kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda,
bahari zinasema kuwa anatishia kujitoa kwenye kundi hilo kwa madai kuwa
hapewi nafasi ya kuzungumza akiwa kama mmoja wa waadhilishi wa kundi
hilo na kila anachozungumza yeye huwa akifanyiwi
kazi na muda mwingimne huonekana kama hakina maana.
Kundi hili linajulikana kwa ngoma moja inayokwenda kwa jina la ‘Watuache’, na linaundwa na wasanii watu Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na Rashida Wanjara, ambao wote wametoka kwenye mashindano ya ulimbwende.
Habari zaidi kuhusiana na ishu hiyo ya kutaka kujitoa kwa Isabela kwenye kundi lake, zilipatikana kwa mmoja wa jamaa wa karibu na wasanii hao, ambaye hakutaka awekwe wazi, ambapo alidai kuwa mwanadada huyo amekuwa akikatishwa kauli na wenzake hasa pale anapokuwa na wazo la mzingi kwa ajili ya kazi za kundi.
Msemaji huyo ambaye naye ni msanii wa filamu bongo, alidai kuwa kuna uwezekana mkubwa kundi hlo likashindwa kudumuna kuendelea naa kazi zake kwa matatizo kama hayo yanayotaka kuanza kuwakumba, ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha kusambaratika.
“Ishu ambayo ipo ndiyo hiyo na mwenyewe anadai kuwa hapewi nafasi ya kuzungumza na wao wanataka wawe wanasikilizwa tu lakini na kama yeye anakuwa na kitu cha msingi kinakatishwa juu kwa juu na hakipewi nafasi ya kufanyiwa kazi,” alisema.
Hata hivyo Isabela mwenyewe alipotafuwa ili kumaliza utata kama ana mpango wa kujitoa, alidai kuwa muda wowote anaweza kuchukua maamuzi hayo kwani tabia ambazo zinaendelea kwenye kundo lake zinamkatisha tamaa ya kufanya kazi pamoja na anaweza kufanya kazi kivyake.
Hata hivyo alipoulizwa ni kwanini wanashindwa kumpa nafasi, alidai kuwa haelewi ni kwa nini kwani yeye ndiye aliyetoa wazi la kuanzishwa kwa kundi hilo, lakini anashindwa kujua ni kwa nini wanamfanyia hivyo.

إرسال تعليق