
Damu ya ujasiriamali katika mwili wa rapper kutoka Mbeya Emmanuel
Simwinga aka Izzo Bizness inaendelea kuchemka baada ya kuamua kufungua
Internet Café na stationery.
Rapper huyo ameshare picha ya chumba cha biashara hiyo kupitia
Twitter na kuandika, “Teku university soon Internet cafe pamoja na
stationery zitaanza Kazi karibuni sana na tuko pamoja.”
Tayari Izzo ana duka la nguo lililopo jijini Mbeya
إرسال تعليق