Jackson Makwetta Afariki Dunia

Ni kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jioni hii. Mbali ya nyadhifa nyingine, Jackson Makwetta alipata kuwa Mbunge wa Njombe na Waziri wa Elimu. Hisia za Mwananchi inatoa pole kwa wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Jackson Makwetta.

Post a Comment

أحدث أقدم