U heard ya leo inamhusu Juma kassim Kirobotto a.k.a Nature, inasemekana anatarajia kuoa mke wa pili....lakini baada ya kuongea na Gossip Cop Sudy Brown, Nature as funy as usual alikana romuors hizo na kusema " we unadhani unaoa oa tu hovyo hovyo" nakuongeza utani kibao..msikilize hapo chini
إرسال تعليق